Serikali ya Tanzania imeupongeza mradi wa kudhibiti sumukuvu (TANIPAC) kwa kuandaa mafunzo kwa wakulima ili watambue namna sahihi ya kukabiliana na tatizo la sumukuvu. Wakulima kupitia mradi wa TANIPAC watajifunza kutambua namna mazao yao…
Read More
Awamu ya kwanza ya Mafunzo ya kutengeneza vihenge vya chuma kwa vijana (artisan) yameanza
Awamu ya kwanza ya Mafunzo ya kutengeneza vihenge vya chuma kwa vijana (artisan) yanayotelewa na mradi wa TANIPAC kwa kushirikiana na Taasisi ya Ufundi Sanifu (VETA) yameanza katika vituo mbalimbali nchini. Awaamu ya kwanza imechukua vijana ...…
Read More
Mafunzo ya udhibiti wa Sumukuvu kwa kutumia kanuni bora za Kilimo na matumizi ya Aflasafe
Mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwa wakulima yanayoendelea katika Halmashauri 18 za Tanzania Bara zinazotekeleza mradi yamefika katika Halmashauri ya Buchosa ambapo jumla ya wakulima 3,000 katika Halmashauri hiyo watafikiwa. Katika picha, mtaalam…
Read More