Q & A

In Tanzania the celebration took place in Singida Region whereby the event brought together representatives from various sectors that have direct or indirect impact on food security and poverty reduction. Various activities took place during the week and aimed at supporting actualization of goals 1, 2, 3, 8 and 10 of UN's 17 Sustainable Development Goals (SDGs), which represents No

Kula chakula kilicho na zaidi ya Miligramu 1 kwa kila kilo moja kunaweza kusababisha ugonjwa wa 'aflatoxicos'

Dalili za ugonjwa huo ni pamoja na kutapika,kuumwa na tumbo,kuwa na maji kwenye mapafu na kuharibikwa kwa maini.

Kulingana na David Osogo,mtafiti wa lishe na afya katika Shirika la Africa Population Health Research Center jijini Nairobi,si dhana, ni jambo linalofahamika kuwa sumu kuvu huzalisha kemikali mwilini ambazo husababisha saratasi ya ini.

Chambua karanga vizuri ondoa zile mbovu na pepeta kwenye ungo,andaa moto usiwe mkali mdogo tu, bandika sufuria na kukaanga bila mafuta zikibadili rangi kidogo epua. Anika juani zikikauka toa maganda yake na kuchambua tena kutoa zilizoungua au mbovu ,tayari kusagwa kwa blender au kutwanga na kinu au peleka mashine ila hakikisha unafanya kwa hali ya usafi. Baada ya kusagwa hifadhi kwenye chombo cha plastik na kufunika hakikisha isikae zaidi ya siku 7.

Top