Awamu ya pili ya Mafunzo ya sumukuvu yaanza katika mikoa ya Kigoma, Geita, Mwanza, Simiyu, Mtwara, na Ruvuma.

Mafunzo ya kudhibiti sumukuvu yakiendelea katika Wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita.