Wakulima jifunzeni uhifadhi bora wa mazao kuepuka sumukuvu!
Serikali ya Tanzania imeupongeza mradi wa kudhibiti sumukuvu (TANIPAC) kwa kuandaa mafunzo kwa wakulima ili watambue namna sahihi ya kukabiliana na tatizo la sumukuvu. Wakulima kupitia mradi wa TANIPAC…
read-more