News and Media

Awamu ya kwanza ya Mafunzo ya kutengeneza vihenge vya chuma kwa vijana (artisan) yameanza

Awamu ya kwanza ya Mafunzo ya kutengeneza vihenge vya chuma kwa vijana (artisan) yanayotelewa na mradi wa TANIPAC kwa kushirikiana na Taasisi ya Ufundi Sanifu (VETA) yameanza katika vituo mbalimbali nchini.…

read-more

Wakulima jifunzeni uhifadhi bora wa mazao kuepuka sumukuvu!

Serikali ya Tanzania imeupongeza mradi wa kudhibiti sumukuvu (TANIPAC) kwa kuandaa mafunzo kwa wakulima ili watambue namna sahihi ya kukabiliana na tatizo la sumukuvu. Wakulima kupitia mradi wa TANIPAC…

read-more

Elimu ni muhimu kudhibiti Sumukuvu Nchini

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Kilimo wamekutana kupitia rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano ya kudhibiti sumukuvu ili kuwezesha jitihada za kukabililiana na tatizo…

read-more

Caution Cited On Aflatoxin Threat to Food Security

INCREASING contamination of food crops with aflatoxin is, besides jeopardising public health, threatening the country's food security, experts have warned, proposing proper handling of food from farming to…

read-more

Wakulima wa Tanzania bara na Zanzibar kunufaika na miradi ya TANIPAC na ERPP

Serikali imesema itaendelea kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa kwa pamoja na Wizara ya Kilimo ya Zanzibar inakuwa na ubora na inakamilika kwa wakati ili kuwanufaisha wakulima nchini. Kauli hiyo…

read-more
Top